Wanaume wa mikoani tuangalie ni jinsi gani ya kuwasaidia wanaume wa Dar

The Initiator huru

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
1,993
Reaction score
2,635
Wakuu embu tukae kikao wanaume wa mikoani tuangalie ni jinsi gani ya kuwasaidia wanaume wa Dar, maana hali inazidi kuwa mbaya kila kukicha. Ziku zinavyozidi kusonga nao wanazidi kuharibika.
Karibuni
 
wamefanya nini tena.? au safari hawana marinda.?
 
Ya wanaume wa dar waachiwe wanaume wa dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…