The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,993
- 2,635
Wakuu embu tukae kikao wanaume wa mikoani tuangalie ni jinsi gani ya kuwasaidia wanaume wa Dar, maana hali inazidi kuwa mbaya kila kukicha. Ziku zinavyozidi kusonga nao wanazidi kuharibika.
Karibuni
Karibuni