Wanaume wa mji wetu

Kuna kaka hapa muda wote anajichukua snap chat yani kanikeraaaa. Hivi mwanaume unaendaje sehemu ya starehe halafu unajichukua snap chat jamani. Tabia za kike hizo kabisa. We kaka ulovaa tshirt ya kijivu raba nyeusi na jinzi hapa 777 acha ukike.
Simu yake ,bando lake hata chaja aliyotumia kuchaji simu pia yake unataka kumpangia cha kufanya
Bogus wewe tena la kiangazi!
 
hahaa mkuu wewe naahandow mliambiwa kuwa nimtu mmoja anayejitekenya na kucheka mwenyew ...hahaa dash jf bhana

nimekumbuka baada ya kuona I'd yko nimejikuta nacheka..

sory Mwenye Uzi nimechpuka nje ya topic
Cc:mahondaw
 
Watu mnazitendea haki starehe mpaka unaandika uzi huu ina maana umekesha.
 
hahaa mkuu wewe naahandow mliambiwa kuwa nimtu mmoja anayejitekenya na kucheka mwenyew ...hahaa dash jf bhana

nimekumbuka baada ya kuona I'd yko nimejikuta nacheka..

sory Mwenye Uzi nimechpuka nje ya topic
Penye wengi pana mengi...

Ukiendekeza baadhi ya members wa JF kwa kile watakachokisema bila uthibitisho unaweza chukia hata kivuli chako...

Cc: mahondaw
 
Kuna kaka hapa muda wote anajichukua snap chat yani kanikeraaaa. Hivi mwanaume unaendaje sehemu ya starehe halafu unajichukua snap chat jamani. Tabia za kike hizo kabisa. We kaka ulovaa tshirt ya kijivu raba nyeusi na jinzi hapa 777 acha ukike.
Huo mji gani kwani?
Isijekuwa Makorora aka Wali nazi.

NB: kuna miji ina wavulana tu (as per JF)
 
Kuna kaka hapa muda wote anajichukua snap chat yani kanikeraaaa. Hivi mwanaume unaendaje sehemu ya starehe halafu unajichukua snap chat jamani. Tabia za kike hizo kabisa. We kaka ulovaa tshirt ya kijivu raba nyeusi na jinzi hapa 777 acha ukike.

Kibo Complex?
 
Huna lolote ulitaka tujue tu upo 777 mkuu .
 
kila mtu ana uhuru wa kufanya atakacho lakini katika hilo ni vyema kuamua kwa busara na weledi yale uyafanyayo hasa unapokua machoni mwa jamiii.
 
sasa watu watajuaje kuwa yuko 777 asipofanya mauzo🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…