Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haihitaji elimu, ni ujuzi kidogo tu unahitajika. Minya mapwido yako huku ukisema, FISI, FISI, FISI hadi usikie yamelia tusuuuuuhhh...hahaaaa wataka apatwe na uchiz sasa ...hiyo elimu unayo mkuu
hahaaa hapana aiseee ..Haihitaji elimu, ni ujuzi kidogo tu unahitajika. Minya mapwido yako huku ukisema, FISI, FISI, FISI hadi usikie yamelia tusuuuuuhhh...
Ni kweli anaingiza kipato, lakini kwa namna hiyo kweli [emoji45] [emoji45]My dear mjini ni shule huwezi jua kupato chake hutoka wapi. Hizo picha si ajabu zinamuwekea ugali mezani
hahaa mkuu wewe naahandow mliambiwa kuwa nimtu mmoja anayejitekenya na kucheka mwenyew ...hahaa dash jf bhana
Simu yake ,bando lake hata chaja aliyotumia kuchaji simu pia yake unataka kumpangia cha kufanyaKuna kaka hapa muda wote anajichukua snap chat yani kanikeraaaa. Hivi mwanaume unaendaje sehemu ya starehe halafu unajichukua snap chat jamani. Tabia za kike hizo kabisa. We kaka ulovaa tshirt ya kijivu raba nyeusi na jinzi hapa 777 acha ukike.
Cc:mahondawhahaa mkuu wewe naahandow mliambiwa kuwa nimtu mmoja anayejitekenya na kucheka mwenyew ...hahaa dash jf bhana
nimekumbuka baada ya kuona I'd yko nimejikuta nacheka..
sory Mwenye Uzi nimechpuka nje ya topic
hahaaaCc:mahondaw
Penye wengi pana mengi...hahaa mkuu wewe naahandow mliambiwa kuwa nimtu mmoja anayejitekenya na kucheka mwenyew ...hahaa dash jf bhana
nimekumbuka baada ya kuona I'd yko nimejikuta nacheka..
sory Mwenye Uzi nimechpuka nje ya topic
Huo mji gani kwani?Kuna kaka hapa muda wote anajichukua snap chat yani kanikeraaaa. Hivi mwanaume unaendaje sehemu ya starehe halafu unajichukua snap chat jamani. Tabia za kike hizo kabisa. We kaka ulovaa tshirt ya kijivu raba nyeusi na jinzi hapa 777 acha ukike.
Kuna kaka hapa muda wote anajichukua snap chat yani kanikeraaaa. Hivi mwanaume unaendaje sehemu ya starehe halafu unajichukua snap chat jamani. Tabia za kike hizo kabisa. We kaka ulovaa tshirt ya kijivu raba nyeusi na jinzi hapa 777 acha ukike.