Wanaume wa Mkoa, bila shaka mmeona mafuriko kwa Makonda

Wanaume wa Mkoa, bila shaka mmeona mafuriko kwa Makonda

Kwa niaba ya wanaume wa dar nampongeza mtoa nyuzi

Ipo sku wanaume wa dar tutapewa heshime yetu tunayostahili
Its only a matter of time
 
Kwa niaba ya wanaume wa dar nampongeza mtoa nyuzi

Ipo sku wanaume wa dar tutapewa heshime yetu tunayostahili
Its only a matter of time
Heshima kama hii
IMG-20180410-WA0005.jpg
 
Hahaha, atakuwa amechanganya mafaili mimi na wachina wapi na wapi.
Wakitaka wanipate labda waje na nyingine ya wanawake walioahidiwa ndoa halafu wakakimbiwa[emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo hiyo umekimbia wengi sana
 
Back
Top Bottom