colin_morgan
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,443
- 2,912
Hahaha ametaja jina gani?Mbona nimeona mdada mmoja amekutaja
Heshima kama hiiKwa niaba ya wanaume wa dar nampongeza mtoa nyuzi
Ipo sku wanaume wa dar tutapewa heshime yetu tunayostahili
Its only a matter of time
Mshipa wa mshipa kamtelekeza na mtoto wa kike halafu umemfanana vibaya mnooHahaha ametaja jina gani?
Young haujatajwa kweli hukoHeshima kama hiiView attachment 740500
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mimi ninavyopenda watoto sio rahisi nizae nimtelekezeMshipa wa mshipa kamtelekeza na mtoto wa kike halafu umemfanana vibaya mnoo
Hahaha, mimi napenda sana watoto Shunie...Hayo mambo ya kukimbia watoto nawaachia wanaume wa Dar es Salaam.Young haujatajwa kweli huko
Sasa mbona huyu mdada kakutaja jamani halafu na mtoto umemfanana[emoji23] [emoji23] [emoji23] mimi ninavyopenda watoto sio rahisi nizae nimtelekeze
Hahhaha wanaume wetu wa dar mnawasingizia mnoooHahaha, mimi napenda sana watoto Shunie...Hayo mambo ya kukimbia watoto nawaachia wanaume wa Dar es Salaam.
Hahaha, atakuwa amechanganya mafaili mimi na wachina wapi na wapi.Sasa mbona huyu mdada kakutaja jamani halafu na mtoto umemfanana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo hiyo umekimbia wengi sanaHahaha, atakuwa amechanganya mafaili mimi na wachina wapi na wapi.
Wakitaka wanipate labda waje na nyingine ya wanawake walioahidiwa ndoa halafu wakakimbiwa[emoji23] [emoji23]
Utashangaa watu mia moja wote wananitaja mimi tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo hiyo umekimbia wengi sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utashangaa watu mia moja wote wananitaja mimi tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wachina wamefanya yao wakasepaNyie bure kabisa mpaka wachina wanawasaidia kazi.
Na makonda usikute atafika huko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hashindwi yuleNa makonda usikute atafika huko
Weka picha[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa mbona huyu mdada kakutaja jamani halafu na mtoto umemfanana
Nakutumia pm mie sitaki kumdhalilisha mtoto wako jamaniWeka picha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sina bao nililoacha njeNakutumia pm mie sitaki kumdhalilisha mtoto wako jamani