BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
watoto wasio wao hao waliowapa mimba si wa dar pia mkuuWanaume wa dar kwa kutunza watoto wasio wao mpo vzuri....[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahah kwahiyo mabao yako huwa unaacha ndani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sina bao nililoacha nje
huyo si alionwa tu na mchina ..kwani ni wanawake wote wana watoto wa kichina ?Nyie bure kabisa mpaka wachina wanawasaidia kazi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mabao yangu yote yapo nyumbani hapa nawacheki tu wanavyochezachezaHahahah kwahiyo mabao yako huwa unaacha ndani
Hahahah mwanaume wa mkoani bana kwa kujisifia[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mabao yangu yote yapo nyumbani hapa nawacheki tu wanavyochezacheza
Hahaha sio kujisifia huo ndio ukweli au unataka na picha kabisaHahahah mwanaume wa mkoani bana kwa kujisifia
Niwekee basi kapicha jamani ila ni picha ya niniHahaha sio kujisifia huo ndio ukweli au unataka na picha kabisa
Picha ya baoNiwekee basi kapicha jamani ila ni picha ya nini
Khaaaa sitaki jamaniPicha ya bao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Khaaaa sitaki jamani
Hivi ww unaufaham wowote kuhusu kipimo cha DNA kweli???? Huwez kupata kujua uhakika wa baba wa mtoto bila kuwa blood details zozote za huyo baba.......sasa pale ulimuona baba yoyote????? Shwainhahahah Makonda amekaa na kipimo cha DNA pale kwake ujue
Tarehe 26 mwezi huu jikomboeni aisee kwa kukiwasha hapo yaani wanaume wa mikoani wawili tu wanawatoa jasho hivyo wang'oeni tuone aisee. Maana kuna mmojawapo nasikia hana cheti na mwingine kawaingiza mkenge kwa pH 7_fake mchana mchana. Aisee mjikomboe ati.Kwa niaba ya wanaume wa dar nampongeza mtoa nyuzi
Ipo sku wanaume wa dar tutapewa heshime yetu tunayostahili
Its only a matter of time
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uko vizuri aisee maana kuna yule Uzi wake umo humu yule ju mong le Chinese dingi yake kasepa kitambo.
Msalimie mwanaume mwenzenu wa dar aitwae Ally RemtullahKwa niaba ya wanaume wa dar nampongeza mtoa nyuzi
Ipo sku wanaume wa dar tutapewa heshime yetu tunayostahili
Its only a matter of time
Wanaume wa mkoa mpooooooooo????
Mna TV lakini???
mtakuwa mmepata kuona kama si kusikia mafuriko kwa RC.., hayo ndo matokeo ya zile chipsi tunazokula.
Nyie endeleeni kulima viazi huko mtuletee hapa mjini.
Shauri zenu