Wanaume wa mkoa jamani ni wachafu, 'mfyuuu'

richaabra

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Posts
1,472
Reaction score
3,511
Wanaume wa mkoa jamani nimejuta na sitorudia tena kutoa penzi langu kwa mwanaume wa mkoa duuh

1. Mwanaume mchafu kuoga kwa kulazimishwaa
2. Huo mkwapa utasema kuna kichaka
3. Usafi wa mdomo janani ndio sifuri kabisa,wanaume wa mkoa wengi mnanuka midomo sababu ya kuendekeza pombe za kienyeji
4. Kwenye mavazi ndio kabisaa sifuri,hamna mpamgilio mzuri wa kuvaa kama wanaume wa dar,yani mwanaume wa mkoa utamkuta nguo inavaliwa mwezi bila kufuliwa, na kwenye makufuli ndio nachoka kabisa chefuuuuu ,na ndio maana wanaume wa mkoa huwa mnapenda kusex gizani ili mfiche uchafu huo
5. Mapenzi ndio hamjui kabisa,hata kukiss hujui,kumtoa out mpenzi wako hujui,na kwa ubahili ndio msiseme looh

1476211123490.jpg

Wanaume wa Dar endeleeni kutufaidi watoto wazuri,vigezo mnavyo jamani
 
Attachments

  • 1476210514989.jpg
    1476210514989.jpg
    60.9 KB · Views: 118
Nshachana nae sitaki.mwaname mchafu.mm
 
Wanaume wa mkoa jamani nimejuta na sitorudia tena kutoa penzi langu kwa mwanaume wa mkoa duuh

1. Mwanaume mchafu kuoga kwa kulazimishwaa
2. Huo mkwapa utasema kuna kichaka
3. Usafi wa mdomo janani ndio sifuri kabisa,wanaume wa mkoa wengi mnanuka midomo sababu ya kuendekeza pombe za kienyeji
4. Kwenye mavazi ndio kabisaa sifuri,hamna mpamgilio mzuri wa kuvaa kama wanaume wa dar,yani mwanaume wa mkoa utamkuta nguo inavaliwa mwezi bila kufuliwa, na kwenye makufuli ndio nachoka kabisa chefuuuuu ,na ndio maana wanaume wa mkoa huwa mnapenda kusex gizani ili mfiche uchafu huo
5. Mapenzi ndio hamjui kabisa,hata kukiss hujui,kumtoa out mpenzi wako hujui,na kwa ubahili ndio msiseme looh

View attachment 416378

Wanaume wa Dar endeleeni kutufaidi watoto wazuri,vigezo mnavyo jamani
Duh hapa ni Ile njia ya kwenda muce jirani na Mr hotel [emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hili sio jiwe ni mawe gizani,tusubiri watu wachafu zaidi africa wakija na mapovu yao
 
Lakini sisi WA mikoani tunajua kushughulikia mzigo hatutegemei vumbi la congo
 
Mwanaume kuwa fundi bila.kuwa msafi na kuwa pesa huo ni usumbufu upo nyonyooooo heheiyaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom