richaabra
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 1,472
- 3,511
Wanaume wa mkoa jamani nimejuta na sitorudia tena kutoa penzi langu kwa mwanaume wa mkoa duuh
1. Mwanaume mchafu kuoga kwa kulazimishwaa
2. Huo mkwapa utasema kuna kichaka
3. Usafi wa mdomo janani ndio sifuri kabisa,wanaume wa mkoa wengi mnanuka midomo sababu ya kuendekeza pombe za kienyeji
4. Kwenye mavazi ndio kabisaa sifuri,hamna mpamgilio mzuri wa kuvaa kama wanaume wa dar,yani mwanaume wa mkoa utamkuta nguo inavaliwa mwezi bila kufuliwa, na kwenye makufuli ndio nachoka kabisa chefuuuuu ,na ndio maana wanaume wa mkoa huwa mnapenda kusex gizani ili mfiche uchafu huo
5. Mapenzi ndio hamjui kabisa,hata kukiss hujui,kumtoa out mpenzi wako hujui,na kwa ubahili ndio msiseme looh
Wanaume wa Dar endeleeni kutufaidi watoto wazuri,vigezo mnavyo jamani