Wanaume wa mkoa jamani ni wachafu, 'mfyuuu'

CIO kweli wote tu wanafanana kama kondacta wa dar kwel nao wamo top fv ya usaf
 
Si wote wewe ni huko ulikopelekwa ndio wako wote kamwe usifananishe mdebwedo wa Dar na wa mkoa.

Umefeli kwa hilo.
 
kwanza huyu kichupi mkononi aweke picha uone....nahc hta mwanaume wa dar hawez kutoa mpanga anapiga fagio la chuma anasepa.....dem akipita sokoni dagaa wanacheka
 
Ungekuwa msafi ungeweka picha yako tukakuona hapo ni kama nzi kafata mzoga hao unaosema wachafu wanakufataje we msafi
 
Hahahaaaa...
Unatoka na wanaokunywa pombe za kienyeji unategemea nini??
 
Najisikia kukutukana ila naogopa ban... Nyau ww
 
Kwan
Unapoongea mkoani unamaanisha vijijini, Dar ni jiji/mjini hata iwe makao makuu Dodoma bado mkoani,
hauna hadhi sawa na Dar.
.......kwani mwanza na arusha ni vijijini......???????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…