dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,929
- 8,327
Tupo kiwanja na wana tunamalizia weekend. Kaja jamaa kaongozana na mrembo mzuri tu lakini alivyokuja kutusalimu hiyo harufu ya kinywa ni balaa. Mwana katutambulisha jamaa katoka mkoani.
Ni hayo tu. Kuna dawa za meno za ukwee kama vile sensodine nk. Pia kuna mouth wash.
Mkija mjini mjue namna ya kujiweka safi.
Ni hayo tu. Kuna dawa za meno za ukwee kama vile sensodine nk. Pia kuna mouth wash.
Mkija mjini mjue namna ya kujiweka safi.