Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Hapo sasa hawajui hata wake za wanaume wa dar huwa wanajisikia vibaya, wakubali tu wapo nyuma kiusafi yaishesasa si wakubali tu mbona wana panic wakati huwaga wana tusema then sisi tuna kausha tu