Wanaume wa mkoani muwe mnakumbuka kusugua meno

sasa si wakubali tu mbona wana panic wakati huwaga wana tusema then sisi tuna kausha tu
Hapo sasa hawajui hata wake za wanaume wa dar huwa wanajisikia vibaya, wakubali tu wapo nyuma kiusafi yaishe
 
kunuka kinywa ni tatizo kubwa sana sasa na wala sio kwa jisi ya kike au kiume,wala si kwa kutoka mikoani au dar,ni wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…