Wanaume wa sasa hawana tofauti na Wanawake


aisee we ni LEGEND.
 


Dah,kuna bunduki MMU hazitaki upuuzi.
Ukihara zinakumaliza,.....ya kwanza Lizzy,ya pili Marty...............umemaliza mama.
 
Binafsi naona wanaume wengi sasa hivi wanapenda mteremko,hawapendi kuwajibika na kujishughulisha.wanawaachia kila kitu wake zao.unakuta mwanamke ndo anajali majukumu ya nyumbani kama vile kununua luku,mahitaji ya nyumbani na hata ada za watoto.binafsi nakereka sana na wanaume wenye tabiia hizi.tofauti na zaman baba alikuwa baba kweli.anajali familia na kusaply mahitaji yote ya familia.walikuwa wanajiamini.wanawake hasa wale ambao hawajaingia kwenye ndoa wanatakiwa kuwa makini sana coz wanaume wengi asa hivi ni opportunist
 
Mkuu, tafsiri ya ujasiri ni uwezo wa mwanaume ku 'approach' mwanamke?
(namba 1) Ebu fafanua.
 

Kwani haki sawa mnazotaka ni zipi jama?
au ni kwenye raha tu ndo mnataka haki sawa ila kwenye majukumu awajibike baba tu?
Ndo maana siku hizi ili uolewe inabidi uwe na kazi,tena kazi ya maana kweli.

Mkiwezeshwa mnaweza,tume wawezesha sana somesheni watoto na lisheni familia hahaha.
 

Jamani, utandawazi! Dunia inabadirika tutake tusitake. Lakini nadhani concern yangu hapa ni mmomonyoko wa maadili, but boys will be boys unless this thread has got a false analogue.
 
Si kila mmoja anavuta kamba upande wake.
 

achana na wazee bana! Enzi za sasa si zile zao!
 
Sina uhakika kama aliyeweka mada hii alidhamiria kuonyesha dharau zake kwa wanaume ama ni anataka kufahamu, Nimeshtushwa na maneno mazito tena kwa kuwajumuisha wanaume wote, but anyway..............
:embarassed2:
Kama wewe ni binti, muangalie boyfriend wako ama mumeo kama unaye kisha jaribu kijilinganisha nae utalipata jibu la hoja yako
 

Waliyaomgea hayo baada ya kukuona wewe. Nakuapia wakikutana na mimi watabadili maoni yao.
 
hizi ni habari mbaya sana kwa vijana(wavulana) wa sasa.JIREKEBISHENI
 

Asante kwa taarifa. Ingekuwa ngumu sana kuipata kwa mtu mwingine kwa kuwa wewe ni mmoja kati ya wanawake wachache waliofanya juhudi ya kuishi na wanaume wengi mpk ukazijua tabia za wanaume wengi.

Ila navyofahamu mimi, wanaume wa ajabu waliiishi zamani kidogo iliyopita. Huko vijijini wanaume hawaendi hata kulima, wake zao ndio hulima na kulea familia. Haya ukienda hata TGNP utayapata kwani ni kesi nyingi za ukatili zililala kwenye kraiteria hii
 
....Feminist. Always.
 
hizi ni habari mbaya sana kwa vijana(wavulana) wa sasa.JIREKEBISHENI

Uzushi mtupu. Eti tukitongoza tunatazama chini, nani kawaambia siku hizi tunatongoza? Demu hata kabla hujamueleza tayari anakwambia keshakuelewa, sasa hilo suala la kutiongozana linatokea wapi. Jichanganye urembeke uone kama ntatazama chini. Tunatongoza wanaume wenzetu leo hii iwe watu ambao wameumbwa kutongozeka!
 
Nilikuwa napita tu, naelekea katika utafiti wa kisayansi kuyabaini hayo madai ya NDOKEJI na LIZZY kwani ni utata mno. Au ndio sababu LADY JD "wanaume kama Mabinti?"
 

Kumbe kuna wakati Lissa unaweza kutuliza akili ukaongea kitu cha maana! Kweli nilikuwa sijawahi kuwaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…