OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Mzuka! naomba kulonga areef na wewe.freah inakuaje boy
[emoji16] [emoji106]Ishiii....punguza basi unaa mshikaji wangu..duh!!!
Mkiamuaga kutusema Uzi unakua mreeeeeeefuu mpka kero kuumaliza lkn sisi tunapowasema tunaweka kauzi kafupi tu yn.........acheni hzo bhana
[emoji23][emoji23]zina damshiii kama neneeeHizi ndiyo nyuzi ninazozipenda.
kwan kuna mtu kaibiwa...... thomas...Yaani wanafanya kama kutukomoa, wakati sisi ni muda kidogo timemaliza.
mtoto wa kike asili yangu kuhongwaa...mkubali mkatae hata kama ntafanya kazi kama zote..
Wengine wanakopa wakabeti...lol hivi watu tunahaha kutafuta hela za mitaji wao wanakopa za kubetia...mayo zaoo...
Vijana mnakopa hela mkabeti...seriously???Hahahahaha leo masela wamekamatika, hapo kwenye kubeti umewapata wengi kwelikweli
kwan madem hawabet boy???[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Hahahahaha leo masela wamekamatika, hapo kwenye kubeti umewapata wengi kwelikweli
Hongera mkuu kwa kutetea walio pigwaHapana!sijapigwa
Hatarious kabisa.[emoji23][emoji23]zina damshiii kama neneee
Naomba nije piemHahahahaa,.. Jamaniii,.asikuumize kichwa sana ilimradi tabia yake imejulikana...haisumbui tena..
Ray naomba niwe mgeni wako pm[emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] acha aisombe namba ili alipe vzri!!
Umbea utaniua Mimi.Kwani anayo mengi au hili moja tu? Nimejaribu kumuuliza nimuulize ndugu vipi mbona unavunja heshima simpati.
Acha umbea dadaHizi ndiyo nyuzi ninazozipenda.
Umesemaaa? Nije pm?Acha umbea dada
Watake wasitake sisi ndo tumeshikilia mstakabali wa maisha yao na dunia kwa ujumla....hata tukitaka kuanzia Leo wanawake wawe wanatembea huku wanakata viuno..watafanya hvo....shubhaamitiYaani wanafanya kama kutukomoa, wakati sisi ni muda kidogo timemaliza.