Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasemaje muungwana sijakuelewa kabisa. Au nawe ulinikopesha mkuu?munkari mpunguze waungwana[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe wadeni sugu wote huwa wanaibiwaga simu,.siku za kulipa zikifika??woiiiAliibiwa simu.
Mdeni wangu siku ya kuniletea hela akapotea hewani. Akaja kunitafuta kesho yake saa tatu akaniambia wakati analeta hela akaibiwa simu hivyo akaripoti ikaonekana simu iko mitaa ya Mikocheni akawa amechanganyikiwa akasahau kama alitakiwa aniletee hela yangu na hapo anatumia laptop kuingia whatsapp.
Ina maana umeacha uchungajiSadaka zimefanyaje??
Mambo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ajabu gani hii....Kazi kweli kweli kabla ya hapo .alikua mzima!!!
Huyu hamonaizi wa jf ndiyo yupi huyo[emoji2] [emoji2] [emoji2] hamonaizi huyu wa wisibii au wa jf!!ukaribu na wakaka hapanaa...!!wengi wadananda!!!
freah inakuaje boyMambo.
Hahaa aisee. Ubinadamu ni shughuli sana aisee.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe wadeni sugu wote huwa wanaibiwaga simu,.siku za kulipa zikifika??woiii
Ishiii....punguza basi unaa mshikaji wangu..duh!!!Ina maana umeacha uchungaji
miaa mia [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mkiamuaga kutusema Uzi unakua mreeeeeeefuu mpka kero kuumaliza lkn sisi tunapowasema tunaweka kauzi kafupi tu yn.........acheni hzo bhana
Hizi ndiyo nyuzi ninazozipenda.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha kabisaaa,..nimeona kumbe laki nayo ni pesa...utawasikia ooh nisaidie kiduka changu kimepitiwa na TRA kimefungwa,.masikini kwa kumuonea huruma asije kufa na njaa akakosa bando ya kuchangia jf unamuazima..kumbeee ni marioo mjini...
Mzuka! naomba kulonga areef na wewe.freah inakuaje boy