Wanaume wa sasa hivi wengi mitihani mitupu...!!

Wanaume wa sasa hivi wengi mitihani mitupu...!!

Aliibiwa simu.

Mdeni wangu siku ya kuniletea hela akapotea hewani. Akaja kunitafuta kesho yake saa tatu akaniambia wakati analeta hela akaibiwa simu hivyo akaripoti ikaonekana simu iko mitaa ya Mikocheni akawa amechanganyikiwa akasahau kama alitakiwa aniletee hela yangu na hapo anatumia laptop kuingia whatsapp.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe wadeni sugu wote huwa wanaibiwaga simu,.siku za kulipa zikifika??woiii
 
Back
Top Bottom