Rijali jandoni
JF-Expert Member
- Apr 5, 2018
- 1,936
- 1,972
Maana nimeona kama umeandika mada za kutapeliwa hela na mvulana ambaee alkuwa yupo au anataka kuwa na wewe kimahusiano au na huyo uliemletea mada hiiAaah!wapi sijafanya huo ujinga!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana nimeona kama umeandika mada za kutapeliwa hela na mvulana ambaee alkuwa yupo au anataka kuwa na wewe kimahusiano au na huyo uliemletea mada hiiAaah!wapi sijafanya huo ujinga!!
Anaumwa figo jomoniii[emoji23][emoji23]Umeona eeehh!ila angetoa taarifa sasa kua ntachelewa kurudisha hyo inaeleweka!
Yeye anakupa akukopeshiKwanini nisimkopeshe kama ninayo wakati na yeye ananipaga zak3?
Umenifanya nicheke aunty kweli pesa zenu zinauma nilikua nikiambiwa tu ila leo nimeamini.....[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] acha aisombe namba ili alipe vzri!!
Hahaa mmeamua kunivunja mbavu leo aisee.Utamuona mtu jukwaani anajifanya ana mahela ana magari kumbe anasimamia bomba kama shunie la mwendokasi
[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]Wasap wanaomba vocha na salio kidogo[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5]
Mweeeeeeeeh .......ngoja nikae kimyaHahaaa basi hakunaga sehemu naonaga watu wapo decent kama humu aisee. Kumbeee..
Don una nini lakini...mwisho mdaiwa alipe[emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] na asibadili I'd wala namba ya simu!!Nawajua, hiki ni kama kikao cha dharura, naangalia kitaishaje.
Zinaishije Don
Kojoa tu mamy[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nakojoaaaaaaaa
Nawajua, hiki ni kama kikao cha dharura, naangalia kitaishaje.
Weeeezi wakubwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vingereza vya Ras simba vinampangawisha kumbe matapeli tu
😂😂role model wangu ni FA, AY na fid q. So imagine suruali zao ndo type yangu mkuuWw unavaa mabwanga eee[emoji23]
Hahaa mi mtu hawezi nitisha na mali zake bz najua kutafuta ila nimestuka fulani hivii bz huwa nimejiaminisha humu watu wapo real.
Hahahaha basi sawa[emoji2] [emoji2] [emoji2] hivi kwa nini sio Mimi jamani niliyekutwa na hilo jambo!!
Chaaaaaa humu ndo fake kuliko InstagramHahaa mi mtu hawezi nitisha na mali zake bz najua kutafuta ila nimestuka fulani hivii bz huwa nimejiaminisha humu watu wapo real.
Wasap wanaomba vocha na salio kidogo[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5]