Wanaume wa siku hizi hamjiamini


Tumechoka kula uporo!
Zamani unashika kitata unanyonga na kususukuma mlango ndio ufunguke!💪👍
Siku Hizi ukielekeza kidole mlango umesha funguka!
Mlango wa uwani utasikia mlio ndiiii...
Siku Hizi kama exhaust muffler imechanika utasikia pwapwapwapwa paratatataaa...utamuona na ndogo ya maji anawahi chooni!🙄😜
Endeleeni tu tutawazira na kuhamia kwenye midoli ya Kichina...
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…