Wanaume wa siku hzi tunapilika kama tunapika

Wanaume wa siku hzi tunapilika kama tunapika

mkabaroho

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2012
Posts
300
Reaction score
373
Maandalizi ya mapenzi siku hzi utafikiri unataka kupika pilau... Mara KY, condom, mafuta ya massage, Congo dust, pembeni redbull au roobust, maji makubwa na Konyagi [emoji23]
Bado hujala mihogo, karanga mbichi na nazi, supu ya pweza[emoji16]
Bado hajatafuta chumba chenye AC [emoji16]....Ongezea vingine....Povu ruksa
 
Cc: Yule anaepakwaga na demu wake asali + viksi alaf anarambwa tigo pesa.

Akuje huku
 
Huhuhuhu

Wanaume mpo[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
 
Huu uz n Kwa wale barobaro
wa DSM
 
We ni mtu wa tatu sijui wa nne unaleta hii mada hapa....muwe mnapitia majukwaa husika kabla ya kupost
 
We ni mtu wa tatu sijui wa nne unaleta hii mada hapa....muwe mnapitia majukwaa husika kabla ya kupost
Atakuwa aliupata huu ujumbe whatsapp maana umetrend sana [emoji3]
 
Back
Top Bottom