Mawaiba
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 417
- 151
Kwani wanawake hawanuki? Kinachowasaidia nyie wa mjini ni hizo perfume zenu tu, nendeni bushi mkaone mambo. Tatizo Diva nae ni mjinga tu. Wasituletee tena mawazo ya wajinga hapa, mawazo ya kina Diva tuwaachie watu wa Fb hukohuko wahangaike nayo...Preta, kama ameongelea kwa popn ya TZ nzima kunaweza kuwa na ukweli.
Asilimia kubwa ya watz wako vijiji na hizo shower jely watazipata wapi? Au hizo boksa watapata wapi wakati wanahitaji mahindi ya msaada?
Kuna ukweli hapa, labda kama tunaongelea hawa wa mjini wenye makazi makubwa.