Kwani wanawake hawanuki? Kinachowasaidia nyie wa mjini ni hizo perfume zenu tu, nendeni bushi mkaone mambo. Tatizo Diva nae ni mjinga tu. Wasituletee tena mawazo ya wajinga hapa, mawazo ya kina Diva tuwaachie watu wa Fb hukohuko wahangaike nayo...Preta, kama ameongelea kwa popn ya TZ nzima kunaweza kuwa na ukweli.
Asilimia kubwa ya watz wako vijiji na hizo shower jely watazipata wapi? Au hizo boksa watapata wapi wakati wanahitaji mahindi ya msaada?
Kuna ukweli hapa, labda kama tunaongelea hawa wa mjini wenye makazi makubwa.
Kwani wanawake hawanuki? Kinachowasaidia nyie wa mjini ni hizo perfume zenu tu, nendeni bushi mkaone mambo. Tatizo Diva nae ni mjinga tu. Wasituletee tena mawazo ya wajinga hapa, mawazo ya kina Diva tuwaachie watu wa Fb hukohuko wahangaike nayo...
Diva ndio nani?
katam balaa mi nimeshakaonja
Hili nimelikuta kwenye ukurasa wake wa facebook anasema wanaume wengi wa tz wananuka boxer,midomo,soksi nk,nimelileta hapa jf magreat thinker mnalizungumziaje?
Huyu ndo DIVA THE LOVENESS LOVE anasema wanaume wa tanzania hawaogi, hawafui nguo za ndani, hawapigi mswaki. Wewe kama mwanaume na mwanamke mwenye mpenzi wa kiume wa kitanzania unasemaje kuhusu hili.
View attachment 54353
Mtafute mwalimu wako wa chekechea kwanza ndo uje ucomment.kasena kweli.. Hebu pita feri na sample wanaume kumi niambie tupi kati yao utakua tayari kusema hanuki soksi.. Boxer,au mdomo?