ye amenusa hilo libikini lake akaona mmmmmmmmmmmmmmmmm kama
umesahau na mabosi wake hapo clouds akina kusagaKwa Saburi lipi basi la kuvalia Bikini?
Mavi yake namsikitikia tu kwa kauli yake ya kusema ''wanaume wa Tanzania''...
so hapa ina maana kamshambulia mpaka
1. Baba yake ambaye Damu na Mifupa yake iko juu yake,
2. Kaka zake,
3. Wajomba zake walioshea ziwa Moja ni bimkubwa wake,
4. Baba zake wadogo na wakubwa,
5. Babu yake mzaa Baba na Babu mzaa Mama...
woote hao Vikwapa vyao vinatema, Boxer zao ndio hazitamaniki yaani mpaka dondola anajenga na anazaa bila wao kujuwa, midomo yao wakizungumza inatema utadhani wamefunga siku 3 mfulizo.
loh usie na haya wala kujuwa vibaya hapa umechemka.
Kuna kanga zimeandikwa ''KAMA MSEMAJI SEMA YA KWAKO''...
Ushuzi we
kwahiyo kauka nkuvae...kweli nimeamini ukiolewa shurti usivae kyupi ili iwe rahiso...iwebojuuu
ur post is immaterial and irrelevant jaribu tena baadae
Huyu ndo DIVA THE LOVENESS LOVE anasema wanaume wa tanzania hawaogi, hawafui nguo za ndani, hawapigi mswaki. Wewe kama mwanaume na mwanamke mwenye mpenzi wa kiume wa kitanzania unasemaje kuhusu hili.
View attachment 54353
Ukimwangalia machoni ni feki, nywele feki na anaotoka nao lazima wawe feki , kwa hiyo sioni ajabu kuyasema hayo yote.
Nimeenda facebook nimekuta wanatangaza kaiaga dunia
wakaka wamekuja juu,kwa maneno na kashfa tele kwa dada wa watu....kafueni boxer....................hehehhhehe embu nicheke mie....
kama ana-date na visharobaro....vitaacha kunuka.....afate wanaume wenye staha zao aone.....