Wanaume Wa ...

Wanaume Wa ...

unatafuta mwanaume au vp em nyoosha maelezo
Kuna Wanaume Wa Mkoa Fulani Niliwalenga, Bt Nimeshndwa Kuaupload Photo.

Wamevaa Singlend O Vest Kubwa Mpaka Usawa Wa Magoti Af Wamechomekea, Yaan Wamefunga Mkanda Magotini Af Chn Kchpa Kchz.

Io Ndo Imenshangaza Kwa Kweli Sijawah Ona Inawezekana Sijaenda Mda Mrefu Mjini. Labda Ningeyakuta.
 
mmh toba sijawahi ona
 
Daah nahisi bado lile arosto halijatoka tangu Jana.. ngj nisokote tenaaa..
 
nimesikia kwamba wanafunzi wa kike wanapewa sana kipaumbele kuliko wanafunzi wa kiume ni kwanini mnafikiri?
 
Back
Top Bottom