edon66
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 2,907
- 9,135
Yupo Kwenye karatasi kachorwa madam ,nawe tukuchoree wako😂Nimelia, huyo mme yuko wapi kwani....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo Kwenye karatasi kachorwa madam ,nawe tukuchoree wako😂Nimelia, huyo mme yuko wapi kwani....
Nipigie nikupe oda unichoree 😹😹😹Yupo Kwenye karatasi kachorwa madam ,nawe tukuchoree wako😂
Hahahh!Nipigie nlikua naoga 😹
Hahahahh!Nipigie nikupe oda unichoree 😹😹😹
Pole sana! Ulipatwa na nini?Haya tupeni maua yetu sasa. Tunaumia sana nyie tena kama leo nusura ninaniliu basi tu Mungu na masela
Nikisoma comment kama hii huwa sioni haja ya kusoma nyingine, maana umefunga mjadala.Huyo mwanamke aliolewa mapema kufata pesa za mume ndiyo maana zilivyoisha na yeye upendo ukakata
Tuanze na wewe kwanza,uko wapi wewe.mwanamkeNimelia, huyo mme yuko wapi kwani....
Daaah!!!! Nipigie nlikua napika......😹Tuanze na wewe kwanza,uko wapi wewe.mwanamke
Katika iyo nyanja mwanamke yupo juu ya shetani. Shetani akitumia mbinu zake zote kukutingisha na akashindwa karata yake ya mwisho ni kufanya kolabo na mwanamke, shatani alimshindwa Adam akahitaji msaada wa Hawa, alimshindwa Samson akahitaji msaada wa DelilaBaada ya shetani kwa uovu anafatia mwanamke.. ndio maana walielewana hata pale bustanini Edeni.. mwanamke na shetani ni pacha kimtindo
Jana nilifanikiwa kujinyonga nikafa basi msibani tulikula sana.(Nimeikopi huko wanakoomba ushauri ili tujifunze kitu)
Nilimdharau sana mume wangu na kumdhalilisha mbele za watu kumbe alikuwa anateseka kwa ajili yetu!
Jana nimelia sana, nimelia kiasi kwamba mume wangu aliporudi nikampigia magoti na kumuomba msamaha. Nimelia tangu asubuhi saa nne mpaka saa kumi mume wangu anaporudi nilikuwa bado nalia. Mimi ni mama wa mtoto mmoja, nimeolewa na ndoa yangu ina miaka 7 sasa, Mungu katujalie mtoto mmoja ana miaka 4 na mimi nina miaka 32 sasa tunatafuta mtoto wa pili lakini Mungu bado hajatubariki.
Wakati mume wangu ananioa alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni ya simu, kubwa na kila kitu kilikuwa vizuri. Mimi ndiyo nilikuwa nimetoka kumaliza chuo hivyo sikuwa na kazi na kwa kuwa mume wangu alikuwa na kipato kikubwa, basi siku ana mchecheto wa kutafuta kazi. Mpaka kupata mtoto tulisumbuka sana kwani nilikuwa na matatizo ya uzazi, hivyo nikibeba mimba huwa hazifiki miezi 3 zinatoka.
Mungu alijalia katika kuhangaika ndiyo nikajifungua huyu mtoto ambaye ndiyo mwanangu wapekee. Lakini tangu kujifungua ndoa yangu haijawahi kuwa na amani kabisa, kila siku ni kugombana na mume wangu na kikubwa tunachogombania ni ishu ya pesa. Mume wangu kuna kipindi aliacha kazi, akakaa nyumbani kwa kwa muda mrefu akihangaika kutafuta kazi nyingine, katika kuhangaika ndiyo tukawa tunagombana.
Mimi nikawa namuambia ni kwanini uliacha kazi na kuja kukaa nyumbani, anatoka asubuhi akirudi ni jioni hana kitu,…. ilikuwa ngumu sana kwangu. Basi nikajikuta nakuwa na kisirani, namjibu vibaya, tunatukanana na kuna kipindi anaondoka hata mwezi naenda nyumbani kwetu basi baadaye narudi. Hali iliendelea hivyo mpaka mwaka jana ndiyo alipata kazi ile rasmi lakini ni kwenye kampuni ndogo hivyo mshahara ni mdogo.
Mimi ndiyo nikazidi kisirani, kumlinganisha na majirani, rafiki zake aliokuwa anafanya nao kazi kuwa wana maisha mazuri. Nilikuwa namtamkia maneno ya kashfa kiasi kwamba hata tendo la ndoa lilikuwa ni ngumu kwetu, akinigusa nakuwa mkali, nitamtukana mpaka basi, nilikuwa namtukana na kumdhalilisha lakini sikuwahi kuwa na amani. Kila wakati najisikia vibaya, sikuwa ninachepuka lakini nilijua namuumiza kwa kusifia marafiki zake na kumuambia anamatani ndiyo wangekuwa wananilala.
Katika kipindi chote hicho mume wangu kuna mambo aliyokuwa akijaribu kuniambia lakini sikuwa nikimsikiliza. Akili yangu ilikuwa imeganda katika yeye kuacha kazi na kuacha maisha mazuri. Nakumbuka kuna kipindi aliniambia kuwa yeye ofisini kuna mtu anamfuatilia, bosi wake kuna kitu anataka kumfanyia lakini sikumsikiliza. Alikuwa ananiambia namna anavyopambana ili tule lakini sikuwa kumsikiliza.
Juzi nilinunua kitabu cha ndoa, sikununua ili kubadilika lakini nilinunua ili kumbadilisha mume wangu. Nimekisoma sana zaidi ya mara mbili ila kuna kitu kimoja kilinifanya nijione nakosea, kumuacha mwanaume kuwa mwanaume, kumshukuru kwa kidogo anachokifanya. Hiki kitu kiliniingia kwani nilikuwa naona mabaya tu ya mume wangu bila kuangalia anavyohangaika.
Niliamua kukaa na kumsikiliza mume wangu, sikuongea naye chochote ila nikaanza kuhangaika kwenye nyaraka zake. Katika kuangalia ndiyo nikagundua kuwa mume wangu hakuacha kazi bali alisimamishwa kazi kwa kusingiziwa wizi na kipindi anaondoka alitakiwa kulipa hiyo hela. Kuna simu ya mume wangu aliyokuwa anatumia nyuma, aliiacha tu nyumbani, nikamua kuichukua, nikaichaji na kuifungua.
Kati ya meseji ndipo niliona jinsi mume wangu anavyohangaika, madeni aliyokuwa nayo, kazi alizokuwa anafanya za vibarua, aliendesha mpaka bodaboda. Kipindi hana kazi namuona anatoka, haniambii kuwa anaenda wapi kumbe alikuwa akiajiriwa sehemu kwenye banda la chips analipwa elfu nne kwa siku na yote alikuwa analeta nyumbani ila mimi sikuwahi kumshukuru. Ile simu ilinipa vitu vingi, kuna meseji nyingi alikuwa anachat na dada yake anamuambia jinsi maisha yalivyomagumu, anatumiwa mpaka elfu na yote alikuwa analeta sikuwahi kumshukuru.
Sio kama mume wangu hakuniambia bali sikuwahi kumsikiliza. Najua nimekosea, mume wangu alishaniambia kanisamehe ila sidhani ndoa yetu itakuwa sawa tena lakini ninachoomba hembu andika kisa changu kuwaambia wanawake, hawa wanaume wanapambana sana hivyo kabla ya kulalamika hembu shukuru hicho anachokupa. Kuna mambo mengi wanaume hawaongei wakijua tu hatuwasikilizi, kuna mambo mengi wanapitia lakini yanapita kwa kuwa hatujaambiwa kuwa wake zao.
MWISHO
Ubarikiwe kwa story nzuri. Ujumbe umewafikia bila shaka.(Nimeikopi huko wanakoomba ushauri ili tujifunze kitu)

Mdogo wangu acha tu. Makazini humu tunawindana na mtaani ndio usiseme. Mtu mwenyewe ukigeuka nyuma ukaona idadi ya watu wanaotabasamu kupitia wewe unabaki kuwa humble maisha yaendelee.Pole sana! Ulipatwa na nini?
Pole sana! Hawajui kama wengine wanategemewaMdogo wangu acha tu. Makazini humu tunawindana na mtaani ndio usiseme. Mtu mwenyewe ukigeuka nyuma ukaona idadi ya watu wanaotabasabu kupitia wewe unabaki kuwa humble maisha yaendelee.
Mbona hapa bodaboda imetajwa kama vile ni kitu cha ajabu, huku kitaa sisi wengine ndio inatusaidia kusukuma maisha, bodaboda ni kazi kama kazi nyinginealiendesha mpaka bodaboda