Wanaume waachwe kuwa wanaume wanapitia Mengi sana. Soma huu mkasa

Sure
Sure
 
Wanawake Huwa hawariziki na hawajui wanataka Nini? Unaweza ishi na mwanamke miaka hata 20 akiwa mama wa nyumbani siku zote unamlisha, unamtibia nk mkitofautiana tu anakwambia toka umuoe hakuna Cha maana ulichomfanyia!! Hao ndo wanawake , japo ni dada zetu, mama , shangazi etc
 
Huyo mwanamke aliolewa mapema kufata pesa za mume ndiyo maana zilivyoisha na yeye upendo ukakata
Mwanamke wa design hii siwezi kuendelea nae. Atabakia kama mzazi mwenzangu na mtoto nitaendelea kumlea kwa kujitahidi chochote Mungu atakachonibariki nacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…