Wanaume wachache

Hujatoa gays hapo, bado Kuna walioamua kutooa wajivinjari na wake WA wenzao!

hapo bado hizo takwimu hazijustfy kushare wenzi!
 
Jamani wadau hivi ni kweli
wamanume tumekuwa wachache kuliko wanawake kiasi kwamba wanawake
wanakosa watu wa kuwa nao?

binafsi sijawah ona mwanamke kakosa mwanaume wa kuwa nae, zaid wanawabadilisha kila iitwayo leo.
 
Hujatoa gays hapo, bado Kuna walioamua kutooa wajivinjari na wake WA wenzao!

hapo bado hizo takwimu hazijustfy kushare wenzi!

zijajustify.....it was just an FYI
 
I know sugar boy.
and I was just thinking aloud using my fingertips
 
Jamani wadau hivi ni kweli wamanume tumekuwa wachache kuliko wanawake kiasi kwamba wanawake wanakosa watu wa kuwa nao?

kweli kabisa wanaume marijali tupo wachache sana.ndio maana matangazo ya tiba ya nguvu za kime kila kona.wengine wanakula kwa macho tu wanaishia kukumbatiana tu.
 
Siku hizi pia wanawake tupo wengi maans kuna wanaume wanawakee!!!lazima wanaume wachacheee
 
Wewe umepata wapi hizo taarifa?
 
wanaume wanaojitambua na kujielewa.. wenye mipango mizuri ya maisha na hofu ya mungu wapo wachache sana. ndio maana tunakosa wa kutuoa maana wengi hamjielewi.

duh,maneno yako ni magumu na machungu,lakini una hoja,nimeyapokea mawazo yako !
 
hata mi ndo nnavosikiaga hivyo ila sina uhakika bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…