Wanaume wachache

Wanaume wachache

Hujatoa gays hapo, bado Kuna walioamua kutooa wajivinjari na wake WA wenzao!

hapo bado hizo takwimu hazijustfy kushare wenzi!

Uwiano wa Kijinsi
Uwiano wa idadi ya watu kijinsi kwa Tanzania na Tanzania Bara ulikuwa wanaume 95 kwa kila wanawake 100,
wakati kwa upande wa Zanzibar, uwiano ulikuwa 94. Kwa mikoamingi uwiano huo ni kati ya wanaume 92 na 95 kwa kila wanawake 100(uk.9)


source:http://www.nbs.go.tz/sensa/PDF/2012 PHC POPULAR VERSION- swahili.pdf#page=4&zoom=auto,0,683







 
Jamani wadau hivi ni kweli
wamanume tumekuwa wachache kuliko wanawake kiasi kwamba wanawake
wanakosa watu wa kuwa nao?

binafsi sijawah ona mwanamke kakosa mwanaume wa kuwa nae, zaid wanawabadilisha kila iitwayo leo.
 
Hujatoa gays hapo, bado Kuna walioamua kutooa wajivinjari na wake WA wenzao!

hapo bado hizo takwimu hazijustfy kushare wenzi!

zijajustify.....it was just an FYI
 
I know sugar boy.
and I was just thinking aloud using my fingertips
 
Jamani wadau hivi ni kweli wamanume tumekuwa wachache kuliko wanawake kiasi kwamba wanawake wanakosa watu wa kuwa nao?

kweli kabisa wanaume marijali tupo wachache sana.ndio maana matangazo ya tiba ya nguvu za kime kila kona.wengine wanakula kwa macho tu wanaishia kukumbatiana tu.
 
Siku hizi pia wanawake tupo wengi maans kuna wanaume wanawakee!!!lazima wanaume wachacheee
 
wanaume wanaojitambua na kujielewa.. wenye mipango mizuri ya maisha na hofu ya mungu wapo wachache sana. ndio maana tunakosa wa kutuoa maana wengi hamjielewi.

duh,maneno yako ni magumu na machungu,lakini una hoja,nimeyapokea mawazo yako !
 
hata mi ndo nnavosikiaga hivyo ila sina uhakika bado
 
Back
Top Bottom