Free ideas
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 3,497
- 2,026
Wakikaa kwa baba zao na mama zao wewe unapungukiwa nn? Katafute hela wewe.... la sivyo utauza Dada zako wewe
| HOME Contact |
|---|
| Tanzania |
| Mainland |
| Zanzibar |
Jamani wadau hivi ni kweli wamanume tumekuwa wachache kuliko wanawake kiasi kwamba wanawake wanakosa watu wa kuwa nao?
Hahahaaaaa we bhana wewe hatareee!
Wanao zaliwa wengi ni wanawake na wanao kufa wengi ni wanaume.
Ni kawaida wanawake kuwa wengi kuliko wanaume katika eneo lolote lile.
Tatizo sio kujielewa,tatizo ni jinsi mlivo kuwa narabia mbovu sana siku hizi,hakuna mdada wa maana wa kumuweka ndan,kila mmoja yupo kimaslahi zaid,mara ohh,me awe na kaz nzur,pesa,nyumba,gar mara handsome,unakuta mdada kazaliwa maisha ya kawaida lakini anataka aishi kama movi anazoshinda anaangalia,.kila disxo analijua fashen zote zake likija swala la kuolwwa anabagua.ndo mana na cc rumwsghtuka na ndo mana wengi wenu manazeekea nyumban siku hiz,wanaume wanasepa kuoa vijijin. Ni mara kumi ukaoe kikini aje mjini kuliko kuoa wa mjini aliyekubuhu
mauwongo ebu enda wikipidia ukasome vizuri. wanaume na wanawake huwa karibu na sawa kwa numbers.
Andika vizuri ueleweke
Tatizo sii kueleweka tatizo n uelewa wako
Usiwe mkali mkuu...
Ukiambiwa ukweli kubali,na rekebisha makosa,hivi umepitia ukichokiandika vizuri,mtu anasoma anaishia hewani kwa kuwa uundaji wako wa sentesi umeukosea,
Sioni haya ya kuwa mkali kiasi hicho,
Ungekuwa mwenye hekima unge-edit ulicho andika ndio watu waelewe ujumbe wako.
Cc Husninyo
UongoJamani wadau hivi ni kweli wamanume tumekuwa wachache kuliko wanawake kiasi kwamba wanawake wanakosa watu wa kuwa nao?
Wewe huhaolewa? Jaribu bahati yako.wanaume wanaojitambua na kujielewa.. wenye mipango mizuri ya maisha na hofu ya mungu wapo wachache sana. ndio maana tunakosa wa kutuoa maana wengi hamjielewi.