Wanaume wachache

Wanaume wachache

Wakikaa kwa baba zao na mama zao wewe unapungukiwa nn? Katafute hela wewe.... la sivyo utauza Dada zako wewe

We nae wa wapi?,ama inakuhusu ehh,muulize mtia mada inamuhusu nn sio mm maana mm nimechangia hoja,ujianza kuuliza humu kila aliechangia inamuhusu nn utaonekana chiz,pole kama imekutachi
 
a5.jpg
 
HOME

Contact

[TD="width: 554"]
2012 Population and Housing Census Brief Results
Tanzania
Mainland
Zanzibar

[TD="width: 184"]
Total​
[/TD]
[TD="width: 150"]
Male​
[/TD]
[TD="width: 118"]
Female​
[/TD]

[TD="align: right"]44,928,923[/TD]
[TD="align: right"]21,869,990[/TD]
[TD="align: right"]23,058,933[/TD]

[TD="align: right"]43,625,354[/TD]
[TD="align: right"]21,239,313[/TD]
[TD="align: right"]22,386,041[/TD]

[TD="align: right"]1,303,569[/TD]
[TD="align: right"]630,677[/TD]
[TD="align: right"]672,892[/TD]
[/TD]

brief data, hiyo hapo juu... wanwake ni wengi kuliko wanaume.

source.. national board of statistics.
 
Jamani wadau hivi ni kweli wamanume tumekuwa wachache kuliko wanawake kiasi kwamba wanawake wanakosa watu wa kuwa nao?

Ni kweli wanaume tupo wachache ila ni kwa tofauti ndogo sana kama 5% ila kuna factors nying sana hapo zinzoleta tatizo kwa wadada kupata wanaume wa kuwaoa.

kifupi fanya hivi; chukua hiyo idadi ndogo ya wanaume na utoe watu wote walio katika katika haya makundi

1. toa mashoga (wazee wa Cameroon) na kwa sasa hili kundi lina watu wengi
2. kuna wagonjwa wasioweza kutoa huduma ya ndoa na hapa nazungimzia wale wasioweza kabisa yani jogoo hapandi ...
3. Wasio kua na uwezo wa kifedha kumudu ndoa hasa kwa mahitaji ya hawa dada zetu wa kisasa zaidi na maisha ya kuigiza
4. Wale ambao bado wapo wapo kama alivyoimba Mwana FA
5. list bado inaendelea.........

sasa ukijukuisha yote haya na kuzingatia kuona napo ni double coincidence sio utatoka tu barabarani na kumkuta wa kuona naye
 
Wanao zaliwa wengi ni wanawake na wanao kufa wengi ni wanaume.

Ni kawaida wanawake kuwa wengi kuliko wanaume katika eneo lolote lile.

mauwongo ebu enda wikipidia ukasome vizuri. wanaume na wanawake huwa karibu na sawa kwa numbers.
 
Tatizo sio kujielewa,tatizo ni jinsi mlivo kuwa narabia mbovu sana siku hizi,hakuna mdada wa maana wa kumuweka ndan,kila mmoja yupo kimaslahi zaid,mara ohh,me awe na kaz nzur,pesa,nyumba,gar mara handsome,unakuta mdada kazaliwa maisha ya kawaida lakini anataka aishi kama movi anazoshinda anaangalia,.kila disxo analijua fashen zote zake likija swala la kuolwwa anabagua.ndo mana na cc rumwsghtuka na ndo mana wengi wenu manazeekea nyumban siku hiz,wanaume wanasepa kuoa vijijin. Ni mara kumi ukaoe kikini aje mjini kuliko kuoa wa mjini aliyekubuhu

Andika vizuri ueleweke
 
Tatizo sii kueleweka tatizo n uelewa wako

Usiwe mkali mkuu...
Ukiambiwa ukweli kubali,na rekebisha makosa,hivi umepitia ukichokiandika vizuri,mtu anasoma anaishia hewani kwa kuwa uundaji wako wa sentesi umeukosea,
Sioni haya ya kuwa mkali kiasi hicho,
Ungekuwa mwenye hekima unge-edit ulicho andika ndio watu waelewe ujumbe wako.

Cc Husninyo
 
Usiwe mkali mkuu...
Ukiambiwa ukweli kubali,na rekebisha makosa,hivi umepitia ukichokiandika vizuri,mtu anasoma anaishia hewani kwa kuwa uundaji wako wa sentesi umeukosea,
Sioni haya ya kuwa mkali kiasi hicho,
Ungekuwa mwenye hekima unge-edit ulicho andika ndio watu waelewe ujumbe wako.

Cc Husninyo

MAKosa ya makosa ya typing error sidhan kama yanaweza fanya usielewe ujumbe umekusudia nn,labda kama una tatizo jingine binafsi
 
unamaanisha nini?

wanaume wenye uume tuu ama hata wavaa suruali wamo?
 
Back
Top Bottom