Wanaume wachache

Wanaume wachache

uwiano wa 95;100 kimahesabu ya secondari ni kwel unaweza sema tuko wachache,ila ki university or college ts almost uwiano sawia uki round of,yaan 1;1,..na maana yake ni mwanaume m1 kwa mwanamke m1...so kiukwel idad iko sawa kwa jinsia zote.ishu ya uoaji,ni nyingine,na kwasasa wanaume tumekua sio waoaji kwasabab nying,hasa za kiuchumi,..shuguli ya maandaliz ya kumweka mtu ndan si ya kitoto,hasa kwa upande wa uchum,..achana na wenye uwezo na hawaoi,hawa ni asilimia 0.000....majority tunawaza meng sabab,madem zetu ukitangza ndoa,andaa zaidi ya minimum mil3,yako bnafsi,plus mda na usumbuf wa akili na mwil,n baada ya ndoa,maisha ya pamoja na mwenza wako nawewe kama mwanamume utakua na majukum ya hatar,plus mkijaliwa mtoto sasa ndo unachanganyikiwa kabsaa,sabab kuna uwezekano pia kwa familia zetu za kiafrica,unaweza sasa ukawa ndo AtM ya familia hzo mbili hata kwa uchache,kuna meng sana hapa siwez maliza yote,ndo yanafanya tusite ndugu zangu
 
wanaume wanaojitambua na kujielewa.. wenye mipango mizuri ya maisha na hofu ya mungu wapo wachache sana. ndio maana tunakosa wa kutuoa maana wengi hamjielewi.

Tatizo sio kujielewa,tatizo ni jinsi mlivo kuwa narabia mbovu sana siku hizi,hakuna mdada wa maana wa kumuweka ndan,kila mmoja yupo kimaslahi zaid,mara ohh,me awe na kaz nzur,pesa,nyumba,gar mara handsome,unakuta mdada kazaliwa maisha ya kawaida lakini anataka aishi kama movi anazoshinda anaangalia,.kila disxo analijua fashen zote zake likija swala la kuolwwa anabagua.ndo mana na cc rumwsghtuka na ndo mana wengi wenu manazeekea nyumban siku hiz,wanaume wanasepa kuoa vijijin. Ni mara kumi ukaoe kikini aje mjini kuliko kuoa wa mjini aliyekubuhu
 
wanaume kama nyie msiojielewa ndio hatuwataki. kuandika tu huwezi utaweza kutunza mke wewe?
 
Swala sio kuandika,maana inawezekana hujui kama natumia vidole na sio kosa lako,unachotakiwa kuja ni jinsi mnavokera.kama unadhan ulizaliwa ili uolewe bila kujishuvhulisha basi we endelea kutafuta unaemtaka kama hujazeeka uko kwenu.afu usiseme hatuwataki sema siwataki khaaaa,.inaonekana we ni walewale aina ile.muhimu tafuta kazi ya kufanya sio ka kitu umtegemeee mqanaume ndomana mnadhalilishwa kila siku.
 
hahahahahaah!!!! wewe kweli hujielewi jamani, si ukubali tu wanaume wanaojielewa wapo wachache. sasa unafikiri kuna watu jf wanatumia pua kuandika au? yaani wanaume kama wewe hata ulete mahari milioni mia sitokubali.
 
We subil mahar tu,miaka inasonga kumbe sijakosea niliposema wr ni kama walewale.tatizo hujui hata ulichoandika humu n nn!,sio kwamba wanaume wanaojielewa wapo wachche hapana,wanawake wa kuoa ndo hakuna,tatizo liko kwenu nyie sio kwetusisi.mtakaa sana kwa mama na baba msipobadilika
 
kwa mtaji huo utatafuta sana mwanamke wa kuoa na usimpate.
 
Hapa wanahesabiwa wale wanaume wa ukwee yaani full charge, ukitoa wabovu halafu ukitoa na wale walio hamia upande wa pili.......kweli ni wachche for sure.
 
Hii yako kali!!wanaume wanawake i like it😀🙁😀
 
Jamani wadau hivi ni kweli wamanume tumekuwa wachache kuliko wanawake kiasi kwamba wanawake wanakosa watu wa kuwa nao?

wanawake hawajakosa wanaume wa kuwa nao. ni uamuzi wao tu.
wanawake kumi wanaweza kukubali kuchangia mwanaume mmoja na kuwaacha wanaume wengine tisa waendesha mikokoteni ambao hawana wanawake.
 
We subil mahar tu,miaka inasonga kumbe sijakosea niliposema wr ni kama walewale.tatizo hujui hata ulichoandika humu n nn!,sio kwamba wanaume wanaojielewa wapo wachche hapana,wanawake wa kuoa ndo hakuna,tatizo liko kwenu nyie sio kwetusisi.mtakaa sana kwa mama na baba msipobadilika

Wakikaa kwa baba zao na mama zao wewe unapungukiwa nn? Katafute hela wewe.... la sivyo utauza Dada zako wewe
 
Back
Top Bottom