Wanaume wachafu msiutumie uchafu wenu kama ndio uanaume

Wanaume wachafu msiutumie uchafu wenu kama ndio uanaume

Miss_Irene

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
320
Reaction score
455
Kumekuwa na tabia za wanaume hasa hawa wa singeli kuutumia uchafu wao kama ndio uanaume

Unakuta mwanaume kakomaa makalio yamepauka yanataka kuwa na upele upele kabisa kisa kutokupaka mafuta, harafu utasikia anasema "mwanaume hapaki mafuta makalio"

Imekuwa hivyo hivyo kwa hawa wanaotembea kwa miguu wakiwa wamevaa sendo unakuta miguu imechakaa vumbu harafu utasikia "mwanaume unavaaje soksi"?

Nani aliwaambia wanaume msiwe mnanyoa nywele za kwapani?

Jamani eeeh! Usafi hauchagui mwanaume wala mwanamke usafi ni kwa wote
 
Shaver za Dorco buku mbili jero pis tano, dawa ya meno closeup au sensodyne, nivea dry fresh for men Deodorant, taulo zako mbili nywele kama umefuga unanunua shampoo ya grace buku tu, unakua unaziosha unatana zinakaa kwa mpangilio, ndevu unanyoa unaacha uchebe kidogo.

Jeans usivae ya kubana sana iwe one colour wala isiwe ya kuchanika magotini, na formsix yako au tishirt round, unaswaki asubuhi na usiku wakati wa kulala, unajifahidi unanunua mouthwash ya listerin buku nane.

Ukinyoa unayoa kwapani na nywele za chini, ukioga unapitisha sabuni kwenye tundu za pua , maana hua zinanuka, then pitisha sabuni katikati ya vidole vya miguu na usivae viatu bila miguu kukauka maana itanuka tu kausha vizuri na kitambaa ndio weka soks yako maridadi.

Vaa boksa walau siku mbili unafua, usiavae boksa za mpira tafuta cotton hata za yarison, deodorant unapaka kwapani, unakua na body spray yako ya blue for men huna haja ya perfume kama uwezo ndio huo, saa yako mkononi tayari uko smart.
 
Muda mchache mama
😂
 
Shaver za Dorco buku mbili jero pis tano, dawa ya meno closeup au sensodyne, nivea dry fresh for men Deodorant, taulo zako mbili nywele kama umefuga unanunua shampoo ya grace buku tu, unakua unaziosha unatana zinakaa kwa mpangilio, ndevu unanyoa unaacha uchebe kidogo, jinzi usivae ya kubana sana iwe one colour wala isiwe ya kuchanika magotini, na formsix yako au tishirt round, unaswaki asubuhi na usiku wakati wa kulala, unajifahidi unanunua mouthwash ya listerin buku nane, ukinyoa unayoa kwapani na vuzi la chini, ukioga unapitisha sabuni kwenye tundu za pua , maana hua zinanuka, then pitisha sabuni katikati ya vidole vya miguu na usivae viatu bila miguu kukauka maana itanuka tu kausha vizuri na kitambaa ndio weka soks yako maridadi vaa, boksa walau siku mbili unafua, usiavae boksa za mpira tafuta cotton hata za yarison, deodorant unapaka kwapani, unakua na body spray yako ya blue for men huna haja ya perfume kama uwezo ndio huo, saa yako mkononi tayari uko smart
Unatangaza bidhaa au unatuelekeza?
 
Back
Top Bottom