Wanaume wachafu msiutumie uchafu wenu kama ndio uanaume

Wewe unatutafuta mwanaume anapakaje mafuta
 
Mafuta lotion tupake yasiyo na harufu ya kukera kama nivea, Amara, Rinju, palmars, maisha mteremko hata ukilala na mupenzi anatamani kukukumbatia
Mkuu hizo zooote unataka iweje? Waachie akina Sofiii.
Mwanume ugumu
 
Yani umemaliza with low budget kabisa umaridadi hautaji gharama kubwa
 
Bora unisaidie kuwafikishia ujumbe
 
Mimi ni mwanaume ,nakubali kabisa dada tulio wengi wetu ni wachafu na tunanukaaaa.Kuns jamaangu mmoja yani akija home,pale alipokaa akiondoka lazima nipukute nipige na airfresh.Jamani wanaume wenzangu tuweni wasafi;
Oga
Fua boxer
Kuwa na boxers 4-10
Ivae asubuhi, jioni fua vaa ingine
Nyoa wizarani huko paka limao
Kuwa na lotion ya kuupendezesha ngozi.
n.k


Mimi kwakweli ni msafi mpaka mademu huwa wanajishtukia.Demu mchafumchafu atanikimbia mwenyewe.
 
Dada umepatikana hapo!
 
Kwa tafit isiyorasm,wanaume hawajawah kupaka mafuta kweny manyungurusi yao tangu waache kuogeshwa na eidha mama au HG
 
Acha kuchungulia makalio ya wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…