Wanaume wafupi na wanene vazi la suti achaneni nalo, haliwafai. Vaeni kanzu

Mwanaume mfupi nae mwanaume? Yani Kati ya wanaume na wewe unamhesabia mtu mfupi kuwa ni mwanaume daaah umeniharibia Siku yangu Ya Boxing Day
 
Lah!! kweli binadamu kwa kujikweza hajambo.
Mtu kanunua nguo akaridhika nayo vipi atoke huyo anayejinasibu kwa kiburi eti mtu wa aina fulani hapendezi.
 
 
Kwasababu moyo wao upo karibu na mfuko wa mavi so muda wote unakua unachemka tu, pia hata wakimeza mate wanajisikia kukojoa ndomana wanakua na stress muda wote

Duhh 🀣🀣🀣🀣
 
Weka picha basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…