Wanaume wafupi na wanene vazi la suti achaneni nalo, haliwafai. Vaeni kanzu

Wanaume wafupi na wanene vazi la suti achaneni nalo, haliwafai. Vaeni kanzu

Kama ni hivyo dukani kusingekuwa na size zetu wafupi....
 
Kajamaa kama yule msanii Bizman(mishi mishi nifungulie mlango wa bafuni nimefungiwa)kanavaa suti eti hahah
 
Kwasababu moyo wao upo karibu na mfuko wa mavi so muda wote unakua unachemka tu, pia hata wakimeza mate wanajisikia kukojoa ndomana wanakua na stress muda wote
😝😝😝😝😝😝😭😭😭😭
 
Kajamaa kama yule msanii Bizman(mishi mishi nifungulie mlango wa bafuni nimefungiwa)kanavaa suti eti hahah
Hahahahaha ile video nachekàga mnoo..anavo cheza ujue kwa akili yake pale alikua ana shake/ break dancing hahah!
 
nimetumwa na rais mstaafu wa awamu ya tatu nikwambie kuwa usitupangie,tutavaa tunavyojisikia.
 
wakuu kausheni basi maana nimecheka sana, hizi mbegu mbaya hatukupenda kuwa ivi
 
Back
Top Bottom