Wanaume wafupi na wanene vazi la suti achaneni nalo, haliwafai. Vaeni kanzu

Naomba picha ya Petro Msigwa akiwa amevaa suti kama ni kweli hazipendezi kwa watu wafupi
 
Kanzu?
Wakristo hawana mazoea ya kuvaa kanzu.
 
Hawa jamaa Kama wewe ni mrefu usipende sana kuanzisha nao ugomvi, maana wako karibu zaidi na mawe ya ardhini kuliko wewe mrefu.
 
kanzu tena sindo itakuwa kama dera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu picha ingenogesha sana
 
Mkuu acha wivu, kama wewe hauna suti hata yakuazima basi kausha tyu..Usiforce tufananeeeeeeeeeeeH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…