queen of the jungle
JF-Expert Member
- Mar 17, 2017
- 228
- 430
Nimegundua wanaume wenye sura ya kawaida na uvaaji wa stara kama vile suruali na mkanda na Tai wanapenda kweli na wana maamuzi ya kiume ni wa kweli hawana longolongo.
Tofauti na hawa tunaoshea nao vipodozi ni shiida kwa kweli huyu hata akija adui anaweza kujificha hata uvunguni.
Tofauti na hawa tunaoshea nao vipodozi ni shiida kwa kweli huyu hata akija adui anaweza kujificha hata uvunguni.