Wanaume 'wagumu' ndio wenye mapenzi ya kweli

Wanaume 'wagumu' ndio wenye mapenzi ya kweli

[emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja vijana wa masaki waje, utayaoga hadi utajuta
 
Waliitendwa utawajua wana mbinu za vijembe[emoji23] [emoji115]
 
Kujiangalia muda huo nitolee wapi.... Majukumu mengi ila navaa kistaha naenda kazini fresh..Muonekano pia nauweka sawa ila sio kwa kushinda kwenye kioo na kushea vipodozi na wifi yako
hahahahahaha, huyo ndio shem wangu wa nguvu.

big up mkuu
 
siku hizi suruali ,mkanda na tai ni mavazi ya aina fulani ya wanaume.Hili ni jipya mjini.
 
Siku hizi hata wanawake niwanaume kwanini uhangaike hadi huku mitandaonii
 
Back
Top Bottom