hahahhah urakoze urakozeAu utaniambia mimi tu, usimwage kuku kwenye mchele mwingi.
hahahahahaha, huyo ndio shem wangu wa nguvu.Kujiangalia muda huo nitolee wapi.... Majukumu mengi ila navaa kistaha naenda kazini fresh..Muonekano pia nauweka sawa ila sio kwa kushinda kwenye kioo na kushea vipodozi na wifi yako
Mwenewachu uliho?!hahahhah urakoze urakoze
Heheeeiiii itakuwa siri yenu atiihahahahahahha shem bhana, nimeuliza tu kwani kabla hujatoka home hushindi kwenye kioo wewe??
niambie bhana sitakusema popote
wifi ake mie sijakusoma vzr ujueHeheeeiiii itakuwa siri yenu atii
Hata kufa hajafa bado unamsubiri afufuke lol!!!Subiri kidogo Yesu afufuke halafu nitaletaππππ
Si yule umemwambia akwambie we tu na hautamwambia mtuwifi ake mie sijakusoma vzr ujue