tigopesa ni hapo tu jirani stunter!hawakosi majibu hawa wadada.
Teh teh tehBinti:Mambo Stunter
STUNTER: poa
Binti: Ah mpenzi ninashida na sh:50,000/=
STUNTER: Usijali ntakupa tukutane KEMPISKI HOTEL
tupate MSOSI uje kuchukua Mzigo wako
Binti: mh mh mh wapi me siwezi kutoka MAMA kanikataza kutoka nje
STUNTER: Sa ntakupaje hizo hela???
Binti: Ntumie kwa TIGOPESA
STUNTER: PUMBAV!! kwahiyo kwenda kwa MAWAKALA
wa TIGOPESA Mama yako anakuruhusu.
Hawa bila kuwa kauzu aisee utabaki mifupa tuYalinikuta makubwa sana.Nikitaka mzigo naambiwa Niko kwenye sikuzangu ila ninashida pesa poa muda unapita, tena anasema nimesafiri.sawa ;tens ninashida yanauli kumbe kwake Mimi mtaji.bwana nishidaaaaaaaaa!!!