Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana kama huna maneno matamu utaishia kuchunwa tu.Yalinikuta makubwa sana.Nikitaka mzigo naambiwa Niko kwenye sikuzangu ila ninashida pesa poa muda unapita, tena anasema nimesafiri.sawa ;tens ninashida yanauli kumbe kwake Mimi mtaji.bwana nishidaaaaaaaaa!!!
hapo sasaBinti:Mambo Stunter
STUNTER: poa
Binti: Ah mpenzi ninashida na sh:50,000/=
STUNTER: Usijali ntakupa tukutane KEMPISKI HOTEL
tupate MSOSI uje kuchukua Mzigo wako
Binti: mh mh mh wapi me siwezi kutoka MAMA kanikataza kutoka nje
STUNTER: Sa ntakupaje hizo hela???
Binti: Ntumie kwa TIGOPESA
STUNTER: PUMBAV!! kwahiyo kwenda kwa MAWAKALA
wa TIGOPESA Mama yako anakuruhusu.
Hahahah ulimuweza kinyama yaniOhooo wapiga vizinga vya saloon wamuulize demu alieniomba hela ya sloon,
Nilimpeleka kwenye saloon ya kile kikofia kumbe ni cja kunyolea vipala magereza makubwa, ile anashtuka kipala kama cha nakaya, nikalipa buku tukaagana amenuna