Wanaume Wajanja Tumeshashtuka Kitaambo..!

Yalinikuta makubwa sana.Nikitaka mzigo naambiwa Niko kwenye sikuzangu ila ninashida pesa poa muda unapita, tena anasema nimesafiri.sawa ;tens ninashida yanauli kumbe kwake Mimi mtaji.bwana nishidaaaaaaaaa!!!
Pole sana kama huna maneno matamu utaishia kuchunwa tu.
 
Hahahahaha we acha tu bado wapo wanopigwa mizinga ya hivyo
 
Ohooo wapiga vizinga vya saloon wamuulize demu alieniomba hela ya sloon,
Nilimpeleka kwenye saloon ya kile kikofia kumbe ni cja kunyolea vipala magereza makubwa, ile anashtuka kipala kama cha nakaya, nikalipa buku tukaagana amenuna
 
hapo sasa
 
Hahahah ulimuweza kinyama yani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…