Wanaume Wajanja Tumeshashtuka Kitaambo..!

Usipo mtunza wako akapendeza utajikuta unawatamani wa wenzako kumbe hata wako ni mzuri tu ila ubahili wako ndo tatizo.
Ila tunatunza wanao tunzika sio hao wapiga mizinga anataka kupewa tu kutoa hataki.
 
Huyu sio wake ni wspiga mizinga
 
hahaha nawe wamekushtukia mkuu.ila nzuri iyo tuwe ivo
 
Na kweli saa hivi ukipigwa mizinga unamwambia aje kuchukua maghettoni.

Alaf nime note madem wengi wanapanda daladala na kutembea kwa miguu these tyms hata hela ya boda imekua ni shida. [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…