Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wajomba zangu kwasababu mama yangu ni mtanzania lakini kuna hawa wanaume wengine wananitia mashaka kwenye blog za watu wamitindo.
Unakuta limeni linakua kwenye picha na wasichana nalinatoa mapozi kama jike.
Sitaki kuongea mengi ila naona......
Wazaire akina papaaa wamejaa teleeeeee Dar siku hizi inawezekana ni wao na sio wabongo bana!