hili sasa ni suala la kimataifa, tanzania inahusika pia: MTOTO WA KITAA: MASTAA BONGO WAANZISHA GENGE LA USAGAJI
Mtizamo binafsi huo mkuu, na kama unakiri kama umeshidwa kazi basi ujue kwamba ni lazima ushindwe. Na hii ni dalili ya kutojiamini.Kuna mhubiri mmoja alihuburi Where are all the Men? sasa naanza kumuelewa, tatizo ni sisi wanaume - hatupo, tumeshindwa kazi, hivyo wanawake wanatafuta mbadala miongoni mwao wenyewe!
you are too academic sir, unapingana na hali halisi - hivi huwa unasoma magazeti ya udaku bongo?
SKENDO YA USAGAJI INANIKOSESHA WACHUMBA-MSANII - Global Publishers
stress ziliniingiza kwenye usagaji: Jini Kabula: ‘stress’ ziliniingiza kwenye usagaji - Global Publishers
Ye kazubaa kule hajafanya kitu, kaja lalamika...eti sisi tumezubaa.
Hiyo academy inahusisha na utafiti ambao ni reality ndo maana nakupa hizo aspects za kuweza kupima kila unachosoma, ona au sikia kama gazeti hilo la udaku haliwezi kuwa referrence pekee....... BACK TO TOPIC sasa hata kama wewe ni rijali KAMA JOGOO unaweza kuoa mtu mwenye kashfa ya usagaji kweli????? Na huyu atakuja kulaumu wanaume pia????
Ndio maana nasema haya mambo kuya generalize ni ngumu sana kaka
Mkuu hivi hii ni fasheni au nini? Binti wa Kiafrika. Mrembo. Ana kila kitu. Sasa inakuwaje? Wanaume tumeshindwa kazi?
huyo dada naye aache uoga mbona mabinti wengine wakiona hawatongozwi na wanaume wao ndio wanatongoza wanaume na wanawapata vile vile kwa hyo sio kosa letu.
La! Pengine mshiko jee?
Na bora niwe sipo, nikija kuwepo kama wewe sitazubaa, ntawacharaza wote wawili kwa mkuyati :biggrin:huwezi kukutana nao kwa kuwa haupo
Siume ona na wewe, yani namlaumu sana kuwachia wanawake wanamdhalilisha vile, kama hana uwanaume mbele yao 😛oaKweli mkuu yeye ndio angeonyesha uanaume wake,sasa analeta lawama hapa.