Wanaume Wako Wapi?

Wanaume Wako Wapi?

Kuna mhubiri mmoja alihuburi Where are all the Men? sasa naanza kumuelewa, tatizo ni sisi wanaume - hatupo, tumeshindwa kazi, hivyo wanawake wanatafuta mbadala miongoni mwao wenyewe!
Mtizamo binafsi huo mkuu, na kama unakiri kama umeshidwa kazi basi ujue kwamba ni lazima ushindwe. Na hii ni dalili ya kutojiamini.
 
Mtizamo binafsi huo mkuu, na kama unakiri kama umeshidwa kazi basi ujue kwamba ni lazima ushindwe. Na hii ni dalili ya kutojiamini.

ungekuwepo wasingetafuta mbadala
 
you are too academic sir, unapingana na hali halisi - hivi huwa unasoma magazeti ya udaku bongo?

SKENDO YA USAGAJI INANIKOSESHA WACHUMBA-MSANII - Global Publishers

stress ziliniingiza kwenye usagaji: Jini Kabula: ‘stress’ ziliniingiza kwenye usagaji - Global Publishers

Hiyo academy inahusisha na utafiti ambao ni reality ndo maana nakupa hizo aspects za kuweza kupima kila unachosoma, ona au sikia kama gazeti hilo la udaku haliwezi kuwa referrence pekee....... BACK TO TOPIC sasa hata kama wewe ni rijali KAMA JOGOO unaweza kuoa mtu mwenye kashfa ya usagaji kweli????? Na huyu atakuja kulaumu wanaume pia????

Ndio maana nasema haya mambo kuya generalize ni ngumu sana kaka
 
nini kinasababisha kuongezeka kwa usagaji?
 
Kweli mkuu yeye ndio angeonyesha uanaume wake,sasa analeta lawama hapa.

kuna wasagaji kibao hapo ulipo, kwa nini hali iko hivyo ilhali unadai upo (japo kiukweli haupo ndio maana wanatafuta mbadala!)?
 
Dah! I wish ningekutana nao mimi hao mabinti...kweli kwenye miti hamna wajenzi.
 
Yesuu! hii dhambi ya mapenzi ya jinsia 1 ndo ilisababisha sodoma na gomora kuchomwa moto ndo itakayopelekea dunia ya leo kuchomwa moto. ndo mambo ya mwishô jamani. TUMRUDIE MWENYEZI MUNGU tu ndo tutapona na dhahama hz!
 
Wanaume mmezidi maudhi,acha warembo wa watu wapeane moyo..
 
huyo dada naye aache uoga mbona mabinti wengine wakiona hawatongozwi na wanaume wao ndio wanatongoza wanaume na wanawapata vile vile kwa hyo sio kosa letu.
 
Dah! I wish ningekutana nao mimi hao mabinti...kweli kwenye miti hamna wajenzi.

miti hiyo ipo kibao hapo ulipo ila mjenzi haupo ndio maana inasukumana yenyewe kwa yenyewe!
 
huyo dada naye aache uoga mbona mabinti wengine wakiona hawatongozwi na wanaume wao ndio wanatongoza wanaume na wanawapata vile vile kwa hyo sio kosa letu.

hicho ni kisingizio tu, alioniongelesha vizuri tena akaniambia alishawahi kuniona kabla hii ina maana alini-notisi na kunikumbuka ila ndio hivyo tena kakolea kwa rafiki yake wa kike, kachagua iwe hivyo kwa kuwa wanaume hatupo!
 
Wanaume mmezidi maudhi,acha warembo wa watu wapeane moyo..

wewe ndio unailewa hali halisi, wengine wako kwenye kuukataa ukweli (denial) - wanaume tumeshindwa kazi!
 
La! Pengine mshiko jee?

wala, huyu wa majuzi ana mshiko wake mwenyewe wa kutosha na wa wakati ule yuko na rafiki wa kike ambayo wote ni wa kawaida tu hawana mshiko wa nguvu wala nini tena kanisisitizia kuna raha na amani zaidi kuliko kuwa na mwanaume!
 
Kweli mkuu yeye ndio angeonyesha uanaume wake,sasa analeta lawama hapa.
Siume ona na wewe, yani namlaumu sana kuwachia wanawake wanamdhalilisha vile, kama hana uwanaume mbele yao 😛oa
 
Back
Top Bottom