eti wanakojoa kitandani sana, kila siku kuanika godoro na wake zao wanawavumilia na kuwapenda. enyi mlioolewa na walevi mnasemaje????????? kuna ukweli hapo. du kazi ipo. Hii ameniambia mtu wa karibu mwanamke ambaye nimesoma naye kwa kipindi cha miaka kama 7 hivi
walevi uchwara hao ....
nilikuwa muhanga.....kikombe hicho kikaniepuka.....hela ya sabuni za kufua mashuka zenyewe alikuwa hatoi.....yeye,pombe na baamedi.....:wink2:
eti wanakojoa kitandani sana, kila siku kuanika godoro na wake zao wanawavumilia na kuwapenda. enyi mlioolewa na walevi mnasemaje????????? kuna ukweli hapo. du kazi ipo. Hii ameniambia mtu wa karibu mwanamke ambaye nimesoma naye kwa kipindi cha miaka kama 7 hivi
:A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:...ni tatizo la mutu yenyewe..eti wanakojoa kitandani sana, kila siku kuanika godoro na wake zao wanawavumilia na kuwapenda. enyi mlioolewa na walevi mnasemaje????????? kuna ukweli hapo. du kazi ipo. Hii ameniambia mtu wa karibu mwanamke ambaye nimesoma naye kwa kipindi cha miaka kama 7 hivi
Hivi wanaume wasiokunywa pombe huwa wanafanya nini kuanzia saa moja jioni mpaka saa tano usiku?
Hivi wanaume wasiokunywa pombe huwa wanafanya nini kuanzia saa moja jioni mpaka saa tano usiku?