Hii ni kero kubwa sana, kuna jirani yangu kila wiki lazima aanike godoro na hana watoto wadogo. mume mlevi, mgomvi akilewa yani mtaa mzima utajua leo jamaa njwii..halafu ajikojolee na kutapika mule mule..
Nilimuambia huyo mdada kuwa ni shujaa, mimi nisingeweza kulea mtu mzima hivyo!..ni job true true hii!!