Black Coffee
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 1,931
- 3,177
Wengi kwa nje unaweza kumkuta mpole na mwenye nidham lakini huwa na wanawake wengi sana. Nahisi kwa kuwa ni kama walivuka stage. Yaan leo yupo na huyu kesho na huyuu yaan kifupi ni vitombi[emoji125] [emoji125]Naomba kuuliza jamani, hivi wanaume waliosoma seminari wanasifa zipi na hasa inapokuja suala la wao kuwa baba ktk familia. Nimewahi msikia mtu mmoja akimwambia mwanamke aliye olewa na kijana aliyewahi soma shule za seminari kuwa amshikilie sana, sasa sikuelewa. Hivi hawa vijana wanasifa zipi hasa...?
Nyamaza tu maana hii ligi nzitohahahahahahha kumbe kuna kawivu hapo katikati? basi ngoja mie shemeji mtu ninyamaze kimyaaaa
sawa shem nimekusikiaNyamaza tu maana hii ligi nzito
Mmmh babu kwwliNachojua mimi ni wapiga punyeto wa kutupwa.
Jibu swali ndiyo uniulize. Nani mzee?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Oooh!! Hakika.
Basi sawa dogo we kula mema ya nchi.
Hivi ndoa yangu isipoishi wewe unapata faida gani my kaka?
Wewe mseminari eeh!Mmmh babu kwwli
hahahaha nacheka huku nimefunga macho yangu shemJibu swali ndiyo uniulize. Nani mzee?
Wa mwanzo ulisema ooh mmakonde sijui.. wa sasa umeanza tena.
Sasa hivi sister itabidi unitongozee uniletee chumbani sasa maana navyovileta nyumbani wewe hauvitaki
Sema ni vibaya kumsema dada mtu ila mme wake anadomo la mamba ila tukaruhusu amchukue tu. .ila yeye mim kasoro hazimkauki mdomonihahahah
hahahaha nacheka huku nimefunga macho yangu shem
sichemi mie kitu hapa duuuhSema ni vibaya kumsema dada mtu ila mme wake anadomo la mamba ila tukaruhusu amchukue tu. .ila yeye mim kasoro hazimkauki mdomoni
Uzuri wangu kwa mpnz wangu kuna wakaka wengi zaidi ya mawifi, so sina shida mie nina wifi mmoja na tunaelewana tu.Sema ni vibaya kumsema dada mtu ila mme wake anadomo la mamba ila tukaruhusu amchukue tu. .ila yeye mim kasoro hazimkauki mdomoni
Aunty haujambo?Mmmh babu kwwli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jibu swali ndiyo uniulize. Nani mzee?
Wa mwanzo ulisema ooh mmakonde sijui.. wa sasa umeanza tena.
Sasa hivi sister itabidi unitongozee uniletee chumbani sasa maana navyovileta nyumbani wewe hauvitaki
Hongera shemUzuri wangu kwa mpnz wangu kuna wakaka wengi zaidi ya mawifi, so sina shida mie nina wifi mmoja na tunaelewana tu.
Faida niliyopata anampenda kaka yake so na mimi nimepatamo ka advantage ka kupendwa.
Gubu la mawifi si unalijua!! Unamchambua wifi yako utadhani wewe miss world.hahahah
hahahaha nacheka huku nimefunga macho yangu shem
[emoji57][emoji57][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nimekushindwa tabia my kaka.
We mume wangu umuwache!!Sema ni vibaya kumsema dada mtu ila mme wake anadomo la mamba ila tukaruhusu amchukue tu. .ila yeye mim kasoro hazimkauki mdomoni
Mimi sina shida naye... ila sifia vya kaka yako.We mume wangu umuwache!!
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
You too.[emoji57][emoji57]
Hatimae huna shida nae!! Thank God.Mimi sina shida naye... ila sifia vya kaka yako.