Wanaume waliosoma seminari

Wanaume waliosoma seminari

Waoga sana wa kuumiza, akidate na madem,hata mia hana ujasiri wa kuwapiga chini when it comes to the choice..
Akiwa na mademu 10 wote watapangwa kwa style hiyo,na kila mmoja atajiona ni malkia,kumbe wako mia. Akiwemo mke
 
Wengi wao ni maboya sana hasa kwenye upande wa mapenzi nakumbuka kuna jamaa yangu alitokea hizo shule asee nilipiga pesa sana coz jamaa mixer domo zege nilikuwa nikimtafutia watoto wazuri na kumlengeshea lakini chaajabu alikuwa akiishia kuharibu kazi, mbaka mademu walikuwa wakimcheka hakuwahi kuwa na confidence mbele ya mademu huyu jamaa, alikuwa mpiga selfie 'nyeto' mzuri coz nilishawah kumfuma several times, watoto wa seminary wakija kupata demu huwa wanamshikiria kweli.
 
Kwani nimeanza leo kukutumia pesa? Nakutumia ila naona bado unakiburi kwa wifi yako..baby wangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio mama tena?
 
Back
Top Bottom